Miradi ya empowerment inayoendeshwa na serikali imeshutumiwa vikali na baadhi ya wakenya

  • | Citizen TV
    4,011 views

    Miradi ya empowerment inayoendeshwa na serikali ili kuwafaidi wananchi haswa kina mama na vijana sasa imeshutumiwa vikali na baadhi ya wakenya wanaosema kwamba Miradi hiyo haiwasaidii. Baadhi yao wakidai kwamba pesa zinazowafikia ni finyu na haiwezi kugawanywa katika makundi ya watu wengi kama wanavyotarajiwa kufanya. Runinga ya Citizen ilizungumza nao katika maeneo tofauti za nchi