Washindi wa shindano la nembo ya NYOTA watajwa

  • | KBC Video
    18 views

    Job Ogweno, Judy Nyawira na Fanuel Omuka ndio washindi wa shindano la kubuni nembo ya kitaifa ya mpango wa kuwapa vijana fursa za kujikuza almaarufu NYOTA. Shindano hilo la kubuni nembo lililoanza mwezi Machi mwaka huu liliwavutia washindani 369 kutoka kote nchini. Akiongea wakati wa uzinduzi wa nembo hiyo, waziri wa masuala ya vijana, uchumi bunifu na michezo Salim Mvurya alitoa wito wa ubunifu katika kuharakisha utekelezji wa mpango huo ili kuwanufaisha vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive