Kesses: Jinsi mama Mercy anavyojikimu kimaisha kwa kufanya biashara ya kuuza makaa

  • | NTV Video
    33 views

    Katika mtaa wa Kesses mjini Eldoret, moshi wa matumaini hupaa kila asubuhi kutoka kwa mkaa wa mama mmoja jasiri. Mercy, mfanyabiashara wa makaa, alianza na mtaji mdogo. Leo, anajikimu, anasaidia wengine, na anatoa somo kuwa biashara ndogo ikifanywa kwa bidii inaweza kubadilisha maisha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya