Wengi wahofiwa kufariki baada ya mgodi kuporomoka DRC

  • | BBC Swahili
    684 views
    Juhudi za uokoaji zimekwama katika mgodi wa Lomera ulioporomoka siku ya Jumapili. Taarifa kutoka eneo hilo ni kwamba mawe makubwa na vifusi yamezika mashimo ya kuingia ndani ya mgodi huo, huku mamia ya watu wakihofiwa kufariki.