Kabogo akanusha madai ya wakuu wa halmashauri ya ICT kuwachishwa kazi

  • | KBC Video
    281 views

    KABOGO: JUKUMU LANGU

    Madai kwamba rais aliagiza wakuu wa halmashauri ya ICT yakanushwa

    Kabogo asema jukumu la kuwaachisha kazi ni la waziri

    Serikali imepuzilia mbali madai ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, kwamba rais William Ruto aliagiza kuondolewa afisini kwa kwa wanachama wa bodi na afisa mkuu mtendaji wa halmashauri ya teknolojia ya habari na mawasiliano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive