Ni habari ya kuvuta subira kujua nani atakuwa rais wa tano Kenya

  • | VOA Swahili
    2,718 views
    Siku tatu baada ya wakenya kupiga kura tume huru ya uchaguzi ya IEBC bado haijatangaza matokeo ya kiti cha rais na kuzusha wasi wasi juu ya nini kinachoendelea. Hata hivyo matokeo ya uchaguzi wa bunge la taifa mabunge ya county na magavana, yanaendelea kutolewa huku kukiwa na mivutano katika matokeo ya baadhi ya maeneo bunge.