Nakuru: Wafanyabiashara wanaouza kando barabara kuu waeleza hofu ya kuhamishwa bila mpango maalum

  • | NTV Video
    196 views

    Kutokana na upanuzi wa barabara ya Nakuru-Nairobi unaotarajiwa kuanza mwakani, wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao kandokando mwa barabara hiyo wanaeleza hofu ya kuhamishwa bila mpango maalum.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya