Familia yavamiwa na vijana kijijii Arabuko huko Malindi

  • | Citizen TV
    120 views

    Familia moja katika Kijiji Cha Arabuko, Kakuyuni kaunti ndogo ya Malindi inaishi kwa hofu baada ya watu kuvamia shamba lao na kuanza kujenga ua