Dunia Wiki Hii: Israel yatangaza kusitisha operesheni za kijeshi huko Gaza kwa saa 10 kila siku

  • | KBC Video
    91 views

    Katika makala ya juma hili, Israel yatangaza kusitisha operesheni za kijeshi huko Gaza kwa saa 10 kila siku kuruhusu uwasilishaji misaada ya kibinadamu huku idadi ya vifo ikipita zaidi ya elfu-59 kwa mujibu wa maafisa Gaza.

    Awamu ya tatu ya mashauriano baina ya urusi na Ukraine yaafikiana kuhusu kubadilishana wafungwa ingawa ilitofautiana kuhusu mkataba wa kusitisha vita.

    Tahadhari za madhara ya joto jingi kupindukia zatolewa nchini Japan na kusini mwa Italia huku viwango vya joto vikifikia vya juu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive