Mikakati ya usalama wakati wa CHAN

  • | Citizen TV
    2,533 views

    Usalama umeimairishwa jijini Nairobi na katika viwanja vya Kasarani na nyayo, taifa linapojiandaa kwa michuano ya kombe la CHAN 2024 itakayoanza humu nchini Jumapili. Polisi wameshika doria katika maeneo mbalimbali huku usalama ukiangaziwa pia kwa kutumia kamera za cctv. Na kama anavyoarifu Franklin Wallah, idara ya usalama nchini imewahakikishia mashabiki wa humu nchini na wa nje kuwa kila kitu ki shwari.