Serikali yasema haiwezi kumudu elimu ya bure

  • | Citizen TV
    331 views

    Serikali inasema haiwezi kufadhili elimu ya bure kwa shule za msingi na upili kwani bajeti yake haitoshi. Waziri wa hazina kuu ya kitaifa John Mbadi akisema kuwa mzigo ni mkubwa kwa serikali kufadhili kiwango kamili cha ruzuku ilhali bajeti ni finyu na matumizi yake ni mengi