Vijana elfu-25 wajumuishwa kwa mpango wa Climate Worx

  • | KBC Video
    49 views

    Vijana elfu-25 wamejumuishwa katika mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga kwenye hafla iliyoandaliwa katika bustani ya Uhuru Gardens jijini Nairobi. Mpango huo wa serikali ya kitaifa unalenga kuhifadhi mazingira ya mijini huku ukibuni nafasi za ajira kwa vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive