Kuna juhudi za kulinda mikoko pwani ya Kenya baada ya mafuriko kuyaathiri kiasi kikubwa

  • | NTV Video
    37 views

    Mikoko imetajwa kuwa hatarini. Maji ya bahari yanazidi kuongezeka, maendeleo holela na joto la bahari vinachangia kuharibu moja ya ngome asili zilizo imara za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya