Mwili wa mwanaharakati wapatikana Kwale, mashirika yalaani utekaji

  • | Citizen TV
    2,921 views

    Familia ya Mwanaharakati Mwabili Mwagodi aliyepatikana leo baada ya kupotea kwa siku nne sasa inailaumu serikali kwa kile wanasema ni kuhusika na masaibu yake. Mwagodi aliyeripotiwa kukamatwa jijini Dar-es-Salaam nchini Tanzania alipatikana kichakani katika eneo la Kinondo kaunti ya Kwale akiwa katika hali mbaya.