- 144 views
Watangazaji wa Redio citizen leo walishiriki ibada ya jumapili katika kanisa la Holygate of Heaven kaunti ya Bungoma. Hii ni katika msururu wa misafara ya watangazaji wa Redio Citizen kutangamana na wafuasi wao maeneo mbalimbali nchini Akiongoza msafara huu, Mkuu wa Redio Citizen Tinah Ogal ameahidi kuwa kituo hiki kitaendelea kukuza matangazo na burudani zake kwa mashabiki. Waliozungumza wote wakigusia haja ya wazazi kuimarisha malezi mema kwa wana wao. Aidha, msafara huu umejumuisha kampuni ya Unga ya Joy Millers ambayo iliendelea kupigia debe chapa zake.
Redio Citizen yatua Bungoma, wazazi waaswa huhusu maadili
- - Local news roundup ››
- 28 Jul 2025 - The hospital says it cannot comply with the court directive, citing a lack of bed space and concerns over the suspect’s security and mental health status.
- 28 Jul 2025 - At the heart of the crisis is a widening capitation shortfall that has left schools across the country reeling. Education stakeholders are now urging Parliament to intervene urgently, amid revelations that the government owes institutions billions of…
- 28 Jul 2025 - According to eyewitness accounts and footage from the scene, the chaos erupted shortly after a church service at AIPCA Christ the King Church in Kahuro, Kigumo Constituency, where a group of legislators allied to Gachagua had gathered ahead of a…
- 28 Jul 2025 - SHA payment policy locks out poor patients, senators say
- 28 Jul 2025 - Epidemic in slow motion: Experts sound alarm over rise in NCDs deaths
- 28 Jul 2025 - Posta Kenya liabilities near Sh10b mark
- 28 Jul 2025 - Ruto: I'll protect children's right to free education
- 28 Jul 2025 - Coming unstuck: Critics say Ruto out of his depth as he fumbles the presidency
- 28 Jul 2025 - Harambee Stars players ready to head Kenya to glory
- 28 Jul 2025 - Mudavadi: I'll make sure UDA retains Malava seat