Kerio yasu biri amani

  • | Citizen TV
    561 views

    LICHA YA MAENEO MENGI YA KERIO VALLEY KUSHUHUDIA AMANI, KUNA BAADHI YA MAENEO AMBAKO HALI YA KAWAIDA HAIJAREJELEA. MIEZI SABA ILIYOPITA ZAIDI YA WATU 10 WALIUAWA NA WEZI WA MIFUGO HUKU MAUAJI YA KASISI ALLOISE CHERUIYOT BETT ENEO LA TOT, ELGEYO MARAKWET, MWEZI MEI MWAKA YAKIIBUA WASIWASI ZAIDI