Vijana wa ODM wapinga uteuzi wa Harold Kipchumba kama mbunge maalum

  • | KBC Video
    558 views

    Mzozo unatokota katika chama cha Orange Democratic Movement baada ya shirikisho la vijana la chama hicho kupinga uteuzi wa Harold Kimuge kuwa mbunge. Shirikisho hilo linaishtumu tume huru ya uchaguzi na mipaka kwa kupuuza uteuzi wao wa John Ketora. Hata hivyo katika kujibu tume ya IEBC imekariri kwamba ilitumia utaratibu ufaao kuchapisha jina la Kimuge kwenye gazeti rasmi la serikali kuwa mteuliwa wa chama hicho. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive