Msafara wa MPESA Sokoni waingia kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    196 views

    Msafara wa MPESA umeendelea kwa siku ya pili katika eneo la Nyanza, ambako umetua kaunti ya Kisii. Misafara hii inayofanywa kwa ushirikiano na Safaricom na kampuni ya Royal Media unasherehekea Miaka 18 ya uwepo wa MPESA nchini.