Mashabiki wa Congo walalamikia kukosa tiketi ya mechi kati ya Kenya na DRC

  • | NTV Video
    282 views

    Mashabiki wa Congo wamesihi kamati ya uandalizi ya mashindano wa CHAN kuwasaidia kupata tiketi baada ya kukosa nafasi ya kununua tiketi ya mechi kati ya Kenya na DRC.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya