Wizara ya afya imeanza kuhamasisha jamii

  • | Citizen TV
    230 views

    Serikali ya kaunti ya Taita Taveta kwa ushirikiano na wizara ya afya imeanzisha mikakati ya kuhamasisha jamii kuhusu mbinu za kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox ambapo wanalenga zaidi wafanyibiashara katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa.