Shirika la kuhakiki ubora wa bidhaa lakanusha madai

  • | Citizen TV
    72 views

    Shirika la kuhakiki ubora wa bidhaa nchini KEBS, limekana kwamba kuna sukari inayosambazwa nchini iliyochafuliwa na isiyofaa kwa matumizi na binadamu.