Juhudi za kutafuta amani ya kudumu DRC
Wenyeviti wa Jumuiya za Afrika mashariki EAC na SADC wamekutana jijini Nairobi nchini Kenya katika juhudi za kuunganisha mazungumzo ya pande mbili kuhusu amani ya DRC.
Miongoni mwa waliohudhuria ni wapatanishi wakuu ambao ni marais wa zamani Uhuru Kenyatta wa Kenya, Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Catherine Samba-Panza wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sahle-Work Zewde wa Ethiopia, na Mokgweetsi Masisi wa Botswana.
Viongozi hao wametoa wito kwa michakato yote inayoendelea ya kutafuta amani DRC kuwiana na mchakato wa Umoja wa Afrika AU.
Je, hii ndio suluhu ya kumaliza vita ambavyo vimeendelea kwa takriban miongo mitatu DRC?
Ungana na @martha_saranga saa tatu kamili katika dira ya dunia tv na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa youtube wa BBCSWAHILI.
#bbcswahili #kenya #drc
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Aug 2025
- The exact number of those injured is yet to be established.
2 Aug 2025
- Millie said there was no guarantee that ODM would back Ruto.
2 Aug 2025
- Kindiki also issued an update on the construction of the Rironi-Mau Summit highway.
2 Aug 2025
- The National Police Service (NPS) has distanced itself from controversial remarks made by a junior officer calling for a reduction in the recruitment of female police officers, saying the views do not reflect the position of the government or the service.
2 Aug 2025
- While enumerating productive interventions implemented in various sectors to ensure better livelihoods, the DP said the administration will not relent in nation building and continued pursuit of economic growth.
2 Aug 2025
- It says the current political outfits in the country have no space for the youth, despite taking part in last year’s anti-finance bill demonstrations.
2 Aug 2025
- The two States signed a peace deal in Washington in June at talks held by President Trump's administration.
2 Aug 2025
- Cheruiyot dismissed opponents as out-of-touch elites who resent efforts to economically uplift ordinary Kenyans.
2 Aug 2025
- A win for Kenyan national football team Harambee Stars in the 2024 African Nations Championship (CHAN) will pocket Sh1 billion in rewards.
2 Aug 2025
- The exact number of those injured is yet to be established.
2 Aug 2025
- Auditor says Kenyans incurred 'avoidable interest' in 17 projects sampled under the 2023/2024 financial year.
2 Aug 2025
- “You can teargas us all you want, but we shall not relent," Senator Methu said.
2 Aug 2025
- Vanessa Whyte, 45, her son James Rutledge and daughter Sara Rutledge were shot dead same day.