Wabunge wasitisha makubaliano Yarubis na Nock

  • | Citizen TV
    192 views

    Kamati ya bunge kuhusu uwekezaji, biasharana kawi imeamrisha kusitishwa mara moja kwa mkataba kati ya shirika la kitaifa la mafuta nchini - Nock- na kampuni ya mafuta ya Rubis. Kamati hiyo imetilia shaka mkopo wa shilingi bilioni tatu ambao Nock imepokea kutoka kwa kampuni ya Rubis. Wanakamati hao pia wametaka ukaguzi zaidi wa mkataba wa makubaliano kati ya kampuni hizo mbili