Kindiki atetea mpango wa mgao wa elimu wa serikali

  • | NTV Video
    307 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki ametetea mpango wa mgao wa elimu wa serikali, akisisitiza kuwa utawala wa Kenya Kwanza umejitolea kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata msaada wa kifedha unaohitajika, na hakuna mwanafunzi anayenyimwa fursa ya kusoma kwa kukosa karo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya