Je utajuaje bidhaa zinazoifaa kwa ngozi yako?

  • | BBC Swahili
    300 views
    Je, umehangaika kupata bidhaa zinazofaa kuitunza ngozi yako, na kuifanya ikufurahishe?...Ukweli ni kwamba kuielewa ngozi yako na bidhaa sahihi na utaratibu mzuri wa utunzaji wa ngozi ni muhimu ili kuwa na ngozi bora yenye afya. Asha Juma anaelezea ✍: @uwasedg #bbcswahili #afyayangozi #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw