Msafara waingia jijini Nairobi kwa kishindo

  • | Citizen TV
    303 views

    Msafara wa Mpesa sokoni umeingia jijinin nairobi kwa ziara ya siku tano kukutana na wateja wa safaricom katika sherehe za kuadhimisha miaka 18 ya huduma za mpesa nchini