Makovu ya shambulizi la kinyuklia Japan.

  • | BBC Swahili
    615 views
    Wiki hii dunia inaadhimisha miaka themanini tangu Marekani kuvamia Japani kwa mabomu ya kinyuklia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki. Hilo ilikuwa shambulizi la mwanzo na mwisho kuwahi kutekelzwa duniani huku walionusurika wakielezea maovu waliyoyapitia wakati huo. Miaka hii yote baada ya tukio hilo kuna vita vinavyoendelea duniani ambapo inahofiwa kwamba silaha hizi kali huenda zikatumiwa. Je, hatukujifunza kutokana na madhara ya shambulizi hilo la 1945 Roncliffe Odit anangazia hili kwa kina leo saa tatu usiku, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili.