KHRC yapendekeza kufutwa kwa hustler fund, yakiri haijafaidi wakenya waliochini kiuchumi

  • | Citizen TV
    975 views

    TUME YA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU YA KHRC SASA INAPENDEKEZA KUFUTILIWA MBALI KWA HAZINA YA HUSTLER FUND. KATIKA RIPOTI YAKE, KHRC IMESEMA HAZINA HII IMEKOSA KUWAWEZESHA WAKENYA WALIO CHINI KIUCHUMI KAMA ILIVYOKUSUDIWA NA HATA MIKOPO MINGI KUKOSE KULIPWA