Ni kwa nini Netanyahu anataka Israel iendelee kuishambulia Gaza?

  • | BBC Swahili
    220 views
    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anataka kuendeleza operesheni za kijeshi huko Gaza, kwa sababu mazungumzo ya kusitisha mapigano na kuachiliwa kwa mateka kati ya Israel na Hamas yamekwama. Haya yanajiri huku mamia ya maafisa wa usalama waliostaafu wa Israel wakimwandikia barua Rais wa Marekani Donald Trump, wakimtaka kuishinikiza serikali yao kusitisha vita. Katika barua hiyo, makamanda wanasema kuwa Hamas haina tena tishio la kimkakati kwa Israel.