Ruto adai kuwa ndiye Rais mwenye tajiriba ya juu kuwahi kuongoza Kenya

  • | Citizen TV
    4,044 views

    RAIS WILLIAM RUTO SASA ANASEMA NDIYE RAIS MWENYE TAJIRIBA YA HALI YA JUU ZAIDI KUWAHI KUONGOZA KENYA, AKISEMA UJUZI WAKE WA KISIASA, ELIMU NA UMRI WAKE, UMEMFANYA KUWA BORA KATIKA HISTORIA YA TAIFA. RAIS RUTO ALIYEZUNGUMZA ALIPOANDAA KIKAO NA VIONGOZI WA KAUNTI YA THARAKA NITHI LEO IKULU YA NAIROBI, ALISEMA MIKAKATI YA UJENZI WA DARAJA LA NITHI KATIKA KAUNTI HIYO ITAANZA HAPO KESHO NA KUKAMILIKA KABLA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA WA 2027