Serikali yasitisha uthibitisho wa OTP kwenye bima ya afya ya SHA

  • | Citizen TV
    546 views

    SERIKALI IMETANGAZA RASMI KUSITISHA UTUMIZI WA UTHIBITISHO WA OTP KWENYE BIMA YA AFYA YA SHA, HUKU SASA KILA MMOJA AKITAKIWA KUSAJILI UPYA MFUMO WA KIDIJITALI. HII KAMA MOJAWAPO YA NJIA ZA KUKABILIANA NA ULAGHAI ULIORIPOTIWA katika BAADHI YA HOSPITALI nchini.