Wakazi wa Mandera Mashariki, katika mpaka wa Kenya na Somalia walalamika kuhusu ukosefu wa usalama

  • | NTV Video
    75 views

    Wakazi wa Mandera Mashariki, katika boda ya Kenya na Somalia, wamesalia katika hali ya hofu na taharuki baada ya majeshi ya Somalia na Jubaland kuwa na mvutano uliosababisha taharuki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya