KHRC yataja Hazina ya Hustler kuwa duni kiuchumi, dhaifu kimfumo, na yenye nia fiche za kisiasa

  • | NTV Video
    74 views

    Tume ya Haki za Binadamu nchini, KHRC, imezua mjadala mkali baada ya kutoa ripoti mpya inayoitaja Hazina ya Hustler kuwa duni kiuchumi, dhaifu kimfumo, na yenye nia fiche za kisiasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya