Mdudu fimbo mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa agunduliwa Australia

  • | BBC Swahili
    1,070 views
    Watafiti Australia wamegundua mdudu fimbo mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa nchini humo, Acrophylla alta! Ana urefu wa cm 40 na uzito wa gramu 44, sawa na mpira wa gofu! Mdudu huyu ana mabawa na hujificha kama kijiti, akiishi juu ya miti milimani kaskazini mashariki mwa Australia. Ugunduzi huu unaibua swali: Je, kuna viumbe wakubwa zaidi bado hatujawagundua? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #australia #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw