MPESA sokoni yatua Nairobi kuadhimisha miaka 18 ya Huduma

  • | Citizen TV
    281 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umetua rasmi jijini Nairobi , ukitikisa jiji kwa shamrashamra za maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Kampuni ya Safaricom iko ziarani kukutana na wateja wake katika maadhimisho haya ya kipekee