Webuye: Wataalamu wa teknolojia wawataka viongozi kutafuta njia mbadala za ufadhili wa elimu

  • | NTV Video
    56 views

    Wataalamu wa teknolojia katika eneo bunge la Webuye Magharibi wamewataka viongozi wa kisiasa wa eneo hilo kutafuta njia mbadala za ufadhili wa elimu ili kuwawezesha vijana wa kizazi kijacho.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya