Familia ya Julia Wangui yapinga ripoti ya kifo, yaapa kupigania haki baada ya kifo chenye utata

  • | Citizen TV
    316 views

    Hisia zilitanda wakati wa mazishi ya binti wa miaka 30 aliyefariki kwa njia tata akiwa kwenye seli katika kaunti ya Laikipia. Familia yake ikipuuzilia mbali ripoti ya upasuaji wa maiti iliyosema kuwa binti huyu aliaga dunia kwa kupasuka mishipa ya damu kichwani. Jamaa zake sasa wakishikilia kuwa wamempumzisha Julia ila wataendelea kupigania haki yake