Waziri Ogamba akiri shule 42 Tharaka Nithi ziko katika hali duni

  • | Citizen TV
    168 views

    WAZIRI WA ELIMU MIGOS OGAMBA SASA AMEKIRI KUWA SHULE 42 ZIKO KWENYE HALI DUNI KATIKA KAUNTI YA THARAKA NITHI NA ZINAHITAJI UKARABATI. OGAMBA AMEKIRI HAYA BAADA YA TAARIFA ILIYOPEPERUSHWA HAPA CITIZEN KUONYESHA JINSI BAADHI YA WANAFUNZI WAMEKOSA HATA MADAWATI NA KUSOMEA