Walimu walaumu nyongeza ya mishahara: TSC yapingwa kwa ahadi za uongo

  • | Citizen TV
    378 views

    Dukuduku limeibuka miongoni mwa walimu nchini, wiki mbili baada ya tume ya kuwaajiri walimu TSC na viongozi wao kuafikiana kuwaongeza mishahara. Walimu wengi wakishikwa na butwaa baada ya kupata mishahara yao kwani wengine wanalalamikia kupata nyongeza ya shilingi elfu moja pekee. Sasa walimu hawa wanasema walidanganywa kwenye ahadi ya nyongeza hii ya shilingi bilioni 33.8