Skip to main content
Skip to main content

Mama ajifungua watoto wanne aowapa majina ya Raila na Ida Kisii

  • | Citizen TV
    29,232 views
    Duration: 2:50
    Na ilikuwa shangwe katika hospitali ya Nyanchwa mjini Kisii baada ya mama mmoja kujifungua watoto wanne kwa mpigo. Watoto hawa wakipewa majina yote ya waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, ikimaanisha kuwa watoto hawa wanne wana majina matatu ya RAILA, AMOLO, ODINGA NA wa kike akipewa jina la IDA.