Jamii za wafugaji Dadaab zaanza kushabikia kilimo

  • | Citizen TV
    103 views

    Baada ya kupoteza mifugo wao kwa miaka mingi kutokana na athari za tabianchi, wakazi wa Dadaab kaunti ya Garissa sasa wamegeukia kilimo ili kujikimu kimaisha