Watu Nne watoweka kangema

  • | Citizen TV
    246 views

    Familia nne kutoka eneo la Tuthu, eneo bunge la Kangema, kaunti ya Murang'a zinaishi kwa huzuni, miezi kadhaa baada ya wapendwa wao wanne kutoweka. Familia hizo zinasema zimekuwa zikiwatafuta wanne hao katika hospitali tofauti na hata kutembelea mochari jijini Nairobi