Rais Ruto akutana na wachezaji wa Harambee Stars

  • | Citizen TV
    12,499 views

    Rais William Ruto ameahidi kumpa kila mchezaji wa harambee stars shilingi milioni mbili nukta tano iwapo watashinda mechi dhidi ya zambia jumapili ijayo.