Isiolo: Wanawake wafanya maandamano ya amani kufuatia ongezeko la visa vya uhalifu

  • | NTV Video
    84 views

    Wanawake kutoka Kanisa la Kianglikana, Kaunti ya Isiolo, wamefanya maandamano ya amani kufuatia kile wanachosema ni ongezeko la visa vya uhalifu mjini Isiolo na maeneo jirani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya