Kiambu: makasisi waanza rasmi misheni ya kujenga upya mahusiano kati ya polisi na umma

  • | NTV Video
    94 views

    Kufuatia maandamano ya hivi majuzi ambayo yamekuwa yakiongozwa na vijana wa Gen Z na kusababisha mgawanyiko mkubwa kati ya polisi na umma, makasisi wa Polisi wa Utawala wameanza rasmi misheni ya kujenga upya mahusiano kati ya polisi na umma Kaunti ya Kiambu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya