Hali ya Taharuki katika kaunti ya Kericho

  • | Citizen TV
    3,494 views

    Hali ya taharuki ilitanda siku kutwa katika Kaunti ya Kericho huku vurugu zikishuhudiwa wakati Gavana Erick Mutai alipokuwa akijiwasilisha katika bunge la kaunti hiyo kusikiza hoja ya kumbandua mamlakani.