Musingu waishinda Kizuka bao moja kwa nunge

  • | NTV Video
    43 views

    Musingu al maarufu The Scorpion wameishinda Kizuka ya Tanzania bao moja kwa nunge kwenye mechi yake ya ufunguzi ya michezo ya shule za upili ya Afrika Mashariki iliyoingia siku yake ya pili hii leo katika uwanja wa Bukhungu kaunti ya Kakamega.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya