Bibi wa miaka 70 anyanyua chuma cha kilo zaidi ya 100

  • | BBC Swahili
    3,227 views
    Tazama bibi mwenye umri wa miaka 70 anavyonyanyua chuma cha kilo zaidi ya 100 ili kudhibiti ugonjwa wa baridi yabisi (arthritis) Baada ya kuumia mgongo na miaka mingi ya kupambania afya yake, Roshni Devi Sangwan, alijaribu kwanza kutumia dawa ili kupata nafuu. Lakini mtoto wake alimshawishi abadili maumivu kuwa nguvu. Mkazi huyu wa Delhi alikubali ushauri huo, na leo hii anainua si tu uzito mzito, anathibitisha kuwa kamwe hujachelewa kujiweka fiti. #bbcswahili #afya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw