Je, Kenya itaingia robo fainali CHAN?

  • | BBC Swahili
    659 views
    Licha ya changamoto ya usalama, utovu wa nidhamu kwa mashabiki, ukosefu wa tiketi za kutosha na uuzaji wa tiketi zilizotumika , mashabiki wa kandanda Afrika mashariki wanajitokeza kwa wingi kuzishabikia timu zao katika mashindano ya CHAN. Kenya na Tanzania zimepigwa faini na CAF kutokana na utovu wa nidhamu wa mashabiki. Mwandishi wa michezo wa BBC Kelvin Kimathi amekua akifuatilia mashindano hayo uwanjani kasarani, jijini nairobi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw