Skip to main content
Skip to main content

| MWENGE WA KAUNTI | Shughuli za watoto na vijana wakati wa likizo ndefu | Part 2

  • | Citizen TV
    123 views
    Duration: 24:10
    Shughuli za watoto na vijana wakati huu wa likizo ndefu Kila kaunti ina wizara ya vijana, sanaa na michezo Je, kuna maeneo maalum yaliyotengewa watoto kuchezea? Changamoto za ukosefu wa sehemu za michezo kwenye kaunti